Bwana harusi, Juma katika pozi na mkwe Frola baada ya kufunga pingu za maisha na kufatiwa na tafrija katika ukumbi wa Makonde Kuringe Hall, Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Bwana harusi Juma (kulia) akiwa katika pozi na mpambe wake Jacob.
Bi. harusi Flora (kushoto) akipozi na mpambe wake Mariam kabla ya kuingia ukumbini.
Bwana haruzi Juma katika pozi akifurahia jambo wakati wa hafla fupi ya kupongezwa na mkewake Flora katika Ukumbi wa Makonde Kuringe Hall, Dar es Salaam.
|
Bi harusi Mtarajiwa Flora akipambwa na mpambaji maarufu Sanura Beauty Artist.
|
Mpambe wa Bi. harusi Mtarajiwa Mariam akipambwa na mpambaji maarufu Sanura Beauty Artist.
|
Bi harusi akiwa na mpambe wake katika pozi.
| Mnaniona katika pozi. |
Bi. harusi Flora akilidaka ua baada ya kulirush juu.
Bi. harusi katika pozi kabla ya kuingia ukumbini.
Mc na mtaalamu wa mapambo na chalula akiweka mambo sawa kabla ya kuingia maharusi na wageni waalikwa.
Asante mume kunipokea UA pokea na wewe.
Mama wa bi. harusi mtarajiwa (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya wana familia kabla ya kuingia ukumbini.
Wazazi wa Bwana harusi wakiingia ndani ya ukumbi kwa madaha wakiiongoza familia yao.
Wazazi wa Bwana harusi wakiipokea familia ya Bi harusi wakati walipokuwa wakiingi ndani ya ukumbi wa Makonde Kuringe Hall, Dar es Salaam.
Familia ya Bi. harusi ikiingia ukumbini.
Bwana na Bi harusi wakiingi ndani ya ukumbi.
Mwenyekiti wa nguvu wa shughuli hiyo ya hafla fupi ya kuwapongeza maharusi, Monica Hillary Doe, akizungumza jambo kwa waalikwa.
Bwana harusi Juma na mkewe Flora wakinyweshana Shampeni.
Bwana harusi na mkewe (katikati) wakigonganisha glas na wapambe.
Bwana harusi na mkewe wakikata keki
Bwana harusi Juma akimlisha mkewake Flora kipande cha keki.
Bi. harusi Flora akiwakabidhi keki wazazi wa Bwana harusi.
Bwana harusi Juma akiwakabidhi keki wazazi wa Bi. harusi.
Mama wa bwana harusi katika picha ya pamoja na marafiki zake.
Wazzi wa Bwana harusi.
Wazazi wa Biharusi.

No comments:
Post a Comment