TANGAZO


Wednesday, December 27, 2017

MAMIA WAJITOKEZA MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI WA AZAM TV

Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wa marehemu Idd Salum wakielekea makaburini wakati wa mazishi yake Desemba 
26 2017. (Picha zote kwa hisani ya Francis Dande)
Meya wa zamani wa Kinondoni, Alhaji Salum Londa akiwa 
ni miongoni mwa waombolezaji.
 Wanahabari pamoja na ndugu wakielekea makaburini.
Mwandishi wa habari wa Kituo cha Runinga cha ITV, Hemed 
Kivuyo akielekea makaburini
 Kuelekea makaburini.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa 
na mwili wa marehemu Idd Salum wakati wakielekea 
makaburini.
Safari ya mwisho hapa duniani ya marehemu Idd Salum.
 Shughuli za mazishi zikiendelea.
 Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakiwa makaburini.
 Waombolezaji.
 Mwili wa marehemu ukihifadhiwa kaburini.
 Taratibu za mazishi zikiendelea.
 Shughuli za mazishi zikiendelea
 Waombolezaji wakishiriki maziko ya Idd

No comments:

Post a Comment