Pages

Thursday, October 19, 2017

WAZIRI MKUCHIKA AKUTANA NA WATUMISHI WA IDARA NA VITENGO VYA OFISI YAKE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akifuatilia mada katika moja ya vikao kazi alivyofanya leo na watendaji wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI. 
  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Kapteni (Mstaafu) Mhe. George Mkuchika (Mb) akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA Serikalini Bw. Priscus Kiwango akieleza kazi mbalimbali zinazohusu TEHAMA Serikalini na utekelezaji wake.

No comments:

Post a Comment