Hapa ni kipindi cha kwanza ubao wa matangazo ukionesha timu ya Taifa ya Malawi ikiongoza kwa bao 1, Taifa Stars ikiwa hajapata kitu Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo, ukiwa ni mchezo ulio katika kalenda ya FIFA. Timu hizo zimetoka sare kwa kufungana bao 1-1.
Simon Msuva wa Taifa Stars akiudhibiti mpira huku akimwacha Fodya Nyamkuni wa Malawi akiwa amedondoka chini.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Simon Msuva wa Taifa Stars akipiga mpira mbele ya Fodya Nyamkuni wa Malawi katika mchezo huo, uliochezwa Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam leo, ukiwa ni mchezo ulio katika kalenda ya FIFA.
Wachezaji wa akiba wa Taifa Stars wakifurahia jambo wakati mchezo huo, ukiendelea.
Vijana wakitoa burudani ya Sarakasi wakati wa mapumziko.
Mbwana Samatta (10) wa Taifa Stars, akiudhibiti mpira huku akizongowa na Lanjesi John wa Malawi.
Mbwana Samatta (10) wa Taifa Stars, akiudhibiti mpira mbele ya Lanjesi John wa Malawi.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akimtoka Lanjesi John wa Malawi katika mchezo huo.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akimtoka Lanjesi John wa Malawi katika mchezo huo.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akijaribu kumpiga chenga Lanjesi John wa Malawi katika mchezo huo.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akimpoteza Gomezgan Chirwa wa Malawi.
Hapa ni purukushani iliyotokea kwenye lango la Malawi, iliyoipatia Taifa Stars bao la kusawazisha.
Mlinda mlango wa Malawi akiwa amekaa kwa masikitiko makubwa baada ya Simon Msuva kuisawazishia Taifa Stars.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akimtoka Lanjesi John.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akimwacha Lanjesi John wa Malawi katika mchezo huo.
Mbwana Samatta wa Taifa Stars, akijaribu kumpiga chenga Lanjesi John wa Malawi aliyejaribu kumkaba kila wakati katika mchezo huo.
Lanjesi John wa Malawi, akiudhibiti mpira huku akizongwa na Mbwana Samatta wa Taifa Stars.
Mashabiki wa Taifa Stars wakiangalia timu yao kwa majonzi makubwa baada ya wachezaji wao wawili kutolewa kwa kadi nyekundi kwa nyakati tofauti katika kipindi cha pili.
Hadi mwisho mchezo huo, ulimalizika kwa timu hizo kufungana bao 1-1.
Hapa Mbwana Samatta, akipatiwa matibabu ya huduma ya kwanza baada ya kugongana na mchezaji wa Malawi wakati alipojaribu kutaka kuifungia Stars bao la pili.
Mbwana Samatta, akitolewa nje kwa ajili ya kwenda kupatiwa matibabu zaidi.
Mbwana Samatta, akiangalia majeraha aliyoyapata baada ya kugongana na mchezaji wa Malawi.
No comments:
Post a Comment