Pages

Tuesday, October 3, 2017

RAIS WA CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) AONGOZA KIKAO CHA WAUGUZI MKOANI LINDI

Rais wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa (katikati)  akifungua kikao cha  kamati ya Mkutano Mkuu wa 45 wa maandalizi ya chama hicho Mkoani Lindi jana. kulia ni  Mwenyekiti wa chama cha hicho Mkoa wa Lindi, Patrick Achimpota na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Sebastian Luziga.  (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mwenyekiti wa Chama cha Wauguzi (TANNA) Mkoa wa Lindi, Patrick Achimpota (kulia), akizungumza jambo wakati wa kikao hicho, kushoto ni   Katibu Mkuu wa Chama hicho, Sebastian Luziga na Rais wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa.
Viongozi mbalimbali na wajumbe wakisikiliza  kwa makini wakati Rais wa Chama cha Wauguzi (TANNA), Paul Magesa alipokuwa akizungumza jambo.
Viongozi na wajumbe wakifuatilia kwa umakini.
Wajumbe wa Mkutano huo wakisikiliza kwa umakini.
Katibu wa Kamati Kuu ya Mkoa Lindi, Emericiana Mtwiche  (kulia) akizungumza jambo wakati wa Mkutano huo.
Mhazini Msaidizi wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Josephine Lwambuka (aliye simama) akizungumza jambo katika Kikao  hicho, kushoto ni Mjumbe wa TANNA Taifa,  Alphonsina Kaduma, kuanzia kulia ni Afisa utawala wa chama hicho, Jema Kajange na Katibu Mwenezi wa Chama Mchungaji, Paciens Bachuba.


Dkt. Sophia Khaify (kulia) akisalimiana na Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania, Paul Magesa mara baada ya kufunga kikao hicho cha Kamati ya Maandalizi jana.




Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa (kulia) akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Ngwechele Makenge, anaye shuhudia katikati ni Makamu wa Rais wa Chama hicho, Ibrahim Mgoo.
Makamu wa Rais wa Chama cha Wauguzi (TANNA), Ibrahim Mgoo (kulia), akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Ngwechele Makenge.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Ngwechele Makenge akizungumza jambo na viongozi mbalimbali wa chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), pichani hawapo.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Ngwechele Makenge (kulia) akizungumza na Viongozi wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) wakati walipofika Ofisi ni kwake kumsalimia

No comments:

Post a Comment