"HaAYA mafunzo ya leo ni njia mojawapo ya kukuza sera ya ujinsia katika vyombo vya habari, utekelezaji wake huwa ni katika kutafuta watu ambao ni watangazaji ambao wao ndiyo watakuwa kama wasimamizi ambapo kupitia wao watatengeza vipindi ambavyo vitakidhi sera ya jinsia inavyotaka ili na wengine waige, "Lengo ni kuwa na vipindi bora na sio tu vipindi bora lakini vipindi bora ambavyo vitakuwa na tija katika jamii ... tatizo wafanyakazi wengi hawajui haya madhara kama hakuna utekelezaji wa sera ya jinsia, madhara yapo kwa namna mbili, kwa wafanyakazi wao wenyewe na kwa wasikilizaji na watazamani, kwako kutokuwa na sera kama hushirikihi hizi jinsi mbili hata huo uhuru wa kupeana habari unakuwa haupo," alisema Mwalimu.
Pages
▼
Friday, October 20, 2017
IAWRT YAVITAKA VYOMBO VYA HABARI NCHININ KUWA NA SERA YA JINSIA
"HaAYA mafunzo ya leo ni njia mojawapo ya kukuza sera ya ujinsia katika vyombo vya habari, utekelezaji wake huwa ni katika kutafuta watu ambao ni watangazaji ambao wao ndiyo watakuwa kama wasimamizi ambapo kupitia wao watatengeza vipindi ambavyo vitakidhi sera ya jinsia inavyotaka ili na wengine waige, "Lengo ni kuwa na vipindi bora na sio tu vipindi bora lakini vipindi bora ambavyo vitakuwa na tija katika jamii ... tatizo wafanyakazi wengi hawajui haya madhara kama hakuna utekelezaji wa sera ya jinsia, madhara yapo kwa namna mbili, kwa wafanyakazi wao wenyewe na kwa wasikilizaji na watazamani, kwako kutokuwa na sera kama hushirikihi hizi jinsi mbili hata huo uhuru wa kupeana habari unakuwa haupo," alisema Mwalimu.
No comments:
Post a Comment