TANGAZO


Saturday, September 2, 2017

TAIFA STARS YAIPIGA BOTSWANA MABAO 2-0 UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

Ubao wa matokeo ukionesha Taifa Stars bao 1 na Botswana 0 wakati wa kipindi cha kwanza cha mchezo kati ya timu hizo uliochezwa Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam leo, ikiwa ni mchezo ulio katika kalenda ya FIFA.(Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Watanzania wakifuatilia mchezo kati ya timu yao ya Taifa, Taifa Stars dhidi ya Botswana Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Saaam leo. 
Simon Msuva wa Taifa Stars akijaribu kuuwahi mpira huku pia ukiwaniwa na Edwin Olerile wa Botswana (13), Uwanja wa Uhuru jijini leo. 
Simon Msuva (12) wa Taifa Stars na Edwin Olerile wa Botswana (13), wakiukimbilia mpira wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Uhuru jijini leo. 
Edwin Olerile wa Botswana (13), akiutoa mpira kwenye miguu ya Simon Msuva (12) wa Taifa Stars wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. 
Simon Msuva (mbele) wa Taifa Stars na Edwin Olerile wa Botswana (13), wakiwania mpira wa juu wakati wa mchezo huo. 
Simon Msuva (kushoto) wa Taifa Stars na Edwin Olerile wa Botswana (13), wakiukimbilia mpira wa juu wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. 
Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta na Simon Msuva wakishangilia bao la pili la Taifa Stars, lililofungwa na Msuva. Mabao yote katika mchezo huo, yalifungwa na mchezaji huyo. 
Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akishangilia bao hilo la pili pamoja na wachezaji wenzake. Mabao yote katika mchezo huo, yalifungwa na Simon Msuva. 
Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akishangilia bao hilo la pili pamoja na wachezaji wenzake. Mabao yote katika mchezo huo, yalifungwa na Simon Msuva. 
Farid Mussa (kulia) wa Taifa Stars akiwania mpira na Simithani Mathumo wa Botwana. 
Elias Maguli wa Taifa Stars akiwa amedonoka chini huku Simithani Mathumo (5) na Lopang Mosige wote wa Botwana, wakiufuata mpira.
Hadi mwisho wa mchezo huo, Taifa Stars waliibuka na ushindi wa mabao 2 na Botswana 0.

No comments:

Post a Comment