Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu
akishiriki kufyetua matofali 10000 ambayo baadae yatagawiwa kwa kata 29
kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zahanati ikiwemo nyumba za
wafanyakazi wa serikali baada ya kupata saruji mifuko 200 kutoka kwa
Mohamed MO na Hoza Farm naye amempa mifuko mingine 100.
![]() |
Mbunge
wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu
Proffesa Maji Marefu akiwa kwenye harakati za kufyetua matofali
hayo.
|
![]() |
Mbunge
wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu
Proffesa Maji Marefu akibeba tofali mara baada ya kulifyetua.
|
![]() |
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini
(CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiendelea na
kazi.
|
Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu mwenye
shati za njano akishiriki kufyatua matofali na viongozi wa CCM Korogwe
Vijijini.
No comments:
Post a Comment