![]() |
Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Hekima mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora mapema leo.
|
![]() |
|
Mshehereshaji wa Tigo
Fiesta ‘TAMADUNIKA’ Mc Kicheko akifanya
yake.
|
![]() |
|
Sehemu ya watazamaji
waliojitokeza kwa wingi kwenye maonesho
ya Tigo Fiesta Tamadunika 2017 mkoani Tabora leo.
|







No comments:
Post a Comment