TANGAZO


Friday, September 1, 2017

JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.  
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao Makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.  
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo (katikati), akizungumzia maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao Makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam. 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya (wa kwanza kushoto) pamoja na Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange mara baada ya kuzungumza kuhusu miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam. 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya (wa nne kutoka kushoto) Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange (wanne kulia), Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali Mwakibolwa (watatu kushoto mstari wa mbele), pamoja na Wakuu wa Kamandi na machifu wa Makao Makuu ya Jeshi hilo. (Picha zote na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment