Pia Mheshimiwa Ummy Mwalimu hakusita kuonesha jitihada za
Serikali katika kuhudumia wananchi wake ikiwemo kuongeza ajira mpya kwa
watumishi wa Afya ili kuimarisha shughuli za utoaji huduma, Kuendelea kuboresha
Miundombinu hususani katika vituo vya Afya ili kuboresha utoaji wa huduma za Upasuaji na Dharura ili
kuokoa maisha ya mama na mtoto.
Pia kikao hicho kilihudhuriwa na Brian Rettman
kutoka PEPFAR (Wapili Kulia kutoka kwa Waziri), Sharon Cromer kutoka USAID
Mission (Wa pili kushoto kutoka kwa Mh.
Waziri) na Maestro Evans Mkurugenzi
mkazi wa CDC (Wa kwanza Kushoto Kutoka
kwa Mh. Waziri).
No comments:
Post a Comment