Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Sadik wakati akielekea kupanda ndege katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono na kuwashukuru viongozi
mbalimbali wa Serikali, Kidini na Taasisi mbalimbali waliomsindikiza katika
katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA mara baada ya kumaliza
ziara yake ya kikazi ya siku tatu mkoani humo. (Picha zote na IKULU)




No comments:
Post a Comment