Pages

Sunday, May 21, 2017

MWENYEKITI KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII AONGOZA SEMINA YA WABUNGE WOTE LEO MJINI DODOMA

Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Amina Mollel akizungumza jambo wakati wa semina ya Wabunge wote iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na Utalii inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili Malikale na Maendeleo ya Utalii nchini Tanzania, iliyofanyika leo Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. (Picha zote na Ofisi ya Bunge)
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Mhandisi Atashasta  Ndetiye akiongoza semina ya Wabunge wote  inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili Malikale na Maendeleo ya Utalii nchini Tanzania, iliyofanyika leo Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma. Kushoto kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Prof. Jumanne Maghembe. 

No comments:

Post a Comment