Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na vijana wa Jogging club mara baada ya kufanya mazoezi ya pamoja yenye nia ya kuimarisha afya na kuendeleza michezo nchini yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo March 1, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akiwapongeza vijana wa Jogging club na wakazi wa Dodoma kwa kushirki michezo mara baada ya kufanya mazoezi ya pamoja yenye nia ya kuimarisha afya na kuendeleza michezo nchini yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri leo March 1, 2017.
Katibu Mkuu Wizara wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwashukuru wakazi na vijana wa Jogging club kwa mapokezi mazuri ya Wizara yake mara baada ya kufanya mazoezi ya pamoja yenye nia ya kuimarisha afya na kuendeleza michezo nchini yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo March 1, 2017.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Nchini Bw. Omary Singo akitoa hamasa kwa wakazi na vijana wa Jogging club kushiriki michezo katika kuimarisha afya na kuendeleza michezo nchini mara baada ya kufanya mazoezi ya pamoja yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo March 1, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) akishiriki kukimbia na vijana wa Jogging club Mjini Dodoma leo March 1,2017. Wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel.
Katibu Mkuu Wizara wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel( wa pili Kulia) akishiriki mazoezi na na vijana wa Jogging club Mjini Dodoma leo March 1,2017 kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya waziri Mkuu kazi Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye pamoja na viongozi wengine wa Serikali na Mkoa wa Dodoma wakishiriki mazoezi yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri leo March 1, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye pamoja na viongozi wengine wa Serikali na Mkoa wa Dodoma wakishiriki mazoezi yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri leo March 1, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye pamoja na viongozi wengine wa Serikali na Mkoa wa Dodoma wakishiriki mazoezi yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri leo March 1, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na Vijana wa Jogging Club, viongozi wengine wa Serikali na Mkoa wa Dodoma mara baada ya kushiriki mazoezi yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri leo March 1, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na Vijana wa Jogging Club, viongozi wengine wa Serikali na Mkoa wa Dodoma mara baada ya kushiriki mazoezi yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri leo March 1, 2017.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na Vijana wa Jogging Club, viongozi wengine wa Serikali na Mkoa wa Dodoma mara baada ya kushiriki mazoezi yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri leo March 1, 2017. (Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma)
No comments:
Post a Comment