Baadhi wa Wakazi wa Mkuranga Mkoani pwani wakishiriki zoezi la uchangiaji damu 05/03/2017 wakati wa fainali za Kombe la Ulega lililoandaliwa na Mbunge wa Wilaya hiyo, Mhe. Abdallah Ulega.
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwasalimia Waamuzi wa mpira wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.
|
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye pamoja na wageni engine walioalikwa wakifuatilia mpambano kati ya Timu ya mpira ya Kisiju na Tengelea wakati wa fainali za Kombe la Ulega zilizofanyika 05/03/2017 Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani.(Picha zote na Benedict Liwenga -WHUSM)
|
No comments:
Post a Comment