WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. January Makamba hii leo amekutana na Mwakilishi wa Benki ya
Dunia nchini Bi. Bella Bird. Katika mazungumzo yao Mwakilishi huyo wa Benki ya
Dunia ameahidi kuisaidia Tanzania katika Sekta ya Mazingira ikiwa ni pamoja na
uhifadhi wa mifumo ya ikolojia na bioanuai, pamoja na kulijengea uwezo Baraza
laTaifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).
Waziri wa Nchi wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na
Mazingira Mhe. January Makamba (Kushoto) akiongea na Mwakilishi wa Benki ya
Dunia nchini Bi. Bella Bird. Mazungumzo hayo yamefanyika hii leo Mtaa wa
Luthuli Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (Kushoto) akiongea na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird. Mazungumzo hayo yamefanyika hii leo Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (Kushoto) akiongea na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird. Mazungumzo hayo yamefanyika hii leo Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora.
No comments:
Post a Comment