Vijana wa kazi kaskazini Arusha wakitoa burudani ya nguvu ndani ya
Triple A sport bar bendi town ijulikanayo kama Mounti Meru
Rickernest.
Waimbaji wa bandi ya Rickinest wakiwa wanaserebuka pamoja na wadau wa muziki wa bandi mkoani Arusha.
Wanenguaji hatari kutoka bendi ya Rickinest Band wakionyesha uwezo wao wa kukata mauno jukwaani.
Apa mzuka ulikuwa umepanda hatari waliamua kuonyesha makeke ya kila aina.
Washabiki wa bendi ya Rickinest wakiwa wana show love kwa pamoja mara baada ya burudani kukolea.
Wanadada wa A-Town waliouthuria katika show hiyo ya Mounti Meru Rickinest Band wakiwa katika pozi.
Wa kwanza kushoto ni shabiki mkuu wa band ya Rickinest music band Omary Matelephone akiwa anabadilishana mawazo na shabiki mwenzake ambalo jina lake alikuweza kufahamika mara moja.
Mmoja wa wakurunzi wa band hiyo wa kwanza kulia akiwa anaserebuka sebene la nguvu wakati wanamuziki wakifanya yao (picha zote na Woinde Shizza, Arusha)
Bendi hii ya Mounti Meru Rickernest bandi inafanya onyesho lake kila siku ya ijumaa ,jumamosi na jumapili katika ukumbi wa Triple A sport bar.
Bendi hii ni mpya na imeaidi kutoa burudani ya nguvu kwa mikoa yote ya hapa nchini.
No comments:
Post a Comment