Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaji Mussa Mbaruku (aliyevaa shati jeupe wa kwanza kulia), akiangalia
namna uchimbaji wa mfereji wa kupitishia maji wakati wa mvua
unavyochimbwa wakati alipofanya ziara ya kuutembelea leo.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku wa kwanza kulia akisisitiza jambo kwa mafundi wanaoendelea na ujenzi wa mfereji wa magaoni kwa ajili ya kupitishia maji ya mvua ikiwa ni mpango madhubuti wa kukabiliana na adha ya mafuriko nyakati za mvua.
Kazi zikiendelea
kama inayoonekana kwenye eneo hilo.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitazama ujenzi wa mfereji huo kulia ni msimamizi wa mradi huo.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akiingia kwenye mfereji huo kwa ajili ya kuukagua wakati alipofanya ziara ya kushtukiza mapema leo.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitoka kwenye mfereji huo mara baada ya kuukagua mapema leo.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitoka kwenye mfereji huo mara baada ya kuukagua mapema leo.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku kulia akiwa na msimamizi wa mradi huo akikagua baadhi ya maeneo ili kuona namna unavyojengwa.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbarukuakiwa na msimamizi wa mradi huo wakitembelea kwenye mfereji ambao utatumika kupitisha maji yatakayojaa kwenye makazi ya wananchi wakati wa mvua.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akiingia kwenye moja ya chemba zilizopo kwenye ujenzi wa mfereji huo.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa mradi huo mara baada ya kuutembelea leo kuona namna ujenzi wake unavyoendelea. (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
No comments:
Post a Comment