Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF), Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na wananchi wa Makorora Jijini Tanga leo wakati wa Hafla ya Makabidhiano hayo.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Makorora Ally Kivurande aliyevaa kanzu akimshukuru Mbunge huyo aliyesimama kulia akisalimia na mama mzazi wa Mlemavu huyo Mariam John.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF), Alhaj Mussa Mbaruku akisalimiana na Mama Mzazi wa Mlemavu wa Miguu Mariam John mara baada ya kumkabidhi mwanae baiskeli ya kutembelea.
Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF),Alhaj Mussa Mbaruku akisisitiza jambo kwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Makorora Ally Kivurande.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF), Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Makorora Kata ya Makorora Jijini Tanga.
Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF),Alhaj Mussa Mbaruku wa pili kushoto akimsikiliza mkazi wa Makorora Jijini Tanga mara baada ya kumalziika zoezi la kukabidhi Baiskeli.(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
No comments:
Post a Comment