TANGAZO


Tuesday, March 7, 2017

Donald Trump kuzungumza na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta

Rais Donald Trump kuzungumza na uhuru Kenyatta kwa simu
Image captionRais Donald Trump kuzungumza na Uhuru Kenyatta kwa simu
Rais Donald Trump atazungumza na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kwa njia ya simu.
Mazungumzo yao yatakuwa ya kwanza tangu rais huyo wa Marekani apate ushinda katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwishoni mwaka jana.
Uhuru Kenyatta atakuwa rais wa nne wa Afrika kuzungumza na rais huyo kutoka taifa lenye uwezo mkubwa duniani.
Kati ya marais wa Afrika aliozungumza nao kwa njia ya simu ni rais wa Misri Abdel Fatah al Sisi, rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma na rais wa Nigeria Muhammadu Buhari.
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
Image captionRais Uhuru Kenyatta wa Kenya
Miongoni mwa maswala wanayotarajiwa kugusia ni swala la usalama, Somalia na ukame unaendelea kukumba eneo zima la Afrika mashariki.

No comments:

Post a Comment