TANGAZO


Monday, February 27, 2017

MBIO ZA TIGO KILI HALF MARATHON ZAFANA MJINI MOSHI

Sehemu ya kuanzia ya Tigo half Kilimarathon yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro.
Washiriki wa Tigo half Kilimarathon wakiwania taji hilo kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro.
Washiriki wa Kilimarathon wakipewa maji kwenye kwa ajili ya kuchangamsha miili yao.
Washiriki wa Tigo half Kilimarathon wakiwania taji hilo kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro.
Washiriki wa Tigo half Kilimarathon wakiwania taji hilo kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro.
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaaskazini, George Lugata akitoa neno la shukrani kwa washiriki wa Kilimarathon na wananchi waliojitokeza kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecky Sadick akimpa tuzo mshiriki wa Tigo half Kilimaratho mwenye miaka 90, Joram Zacharia Mollel baada ya kumaliza  mbio hizo za kilomita 21.

Mshiriki wa Tigo half Kilimaratho mwenye miaka 90, Joram Zacharia Mollel baada ya kumaliza  mbio hizo za kilomita 21, Pembeni yake ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini.
Washindi wa riadha ya kilomita 21 iliyofadhiriwa na Tigo kwenye Kilimarathon wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali.

No comments:

Post a Comment