Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Tarime mkoani Mara, akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89). Mazishi yamefanyika jana katika Kata ya Kenyamanyori wilayani Tarime.Na BMG.
Ndugu, jamaa na marafiki wakiuaga mwili wa marehemu.
Mtoto wa marehemu (kushoto) akiwa na shemeji yake, wakiweka shada.
Viongozi wa dini wakiweka mashada.
Marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89), enzi za uhai wake. Mola aipumzishe roho ya marehemu, mahala pema, peponi, Amina!





No comments:
Post a Comment