Picha ya
pamoja ya Katibu Mkuu wa wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Dr.
Adelhelm Meru, wahasibu na wakaguzi wa ndani wa
Wizara.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji,
Mhe. Dr. Adelhelm Meru, akipokea tuzo ya ushindi wa kwanza kwa kundi la Wizara na Idara za Serikali ya ubora wa uwasilishwaji wa taarifa ya fedha kwa mwaka
2015 kutoka kwa mhasibu mkuu wa Wizara Bi. Rose Janeth Bandisa.
Tuzo ya ushindi wa kwanza kwa kundi
la Wizara na Idara za Serikali ya ubora wa uwasilishwaji wa taarifa ya fedha kwa mwaka 2015. Tuzo hii hutolewa
kila mwaka na bodi ya taifa ya wahasibu na wakaguzi (NBAA).




No comments:
Post a Comment