Pages
▼
Tuesday, December 27, 2016
WATOTO WA KITUO CHA MAMA REHEMA MADALE WAFURAHIA NOELI
Zawadi za Noeli kwa watoto wa Kituo cha Watoto cha Mama wa Rehema - Madale zikushushwa katika gari kabla ya kukabidhiwa.
Sehemu ya watoto wanaotunzwa katika Kituo cha Mama wa Rehema Madale.
Kina mama waliotembelea watoto wa Kituo cha Mama wa Rehema-Madale wakiwa wamewabeba baadhi ya watoto wakati wa sikuku ya Noeli.
Watoto wanaolelewa katika kituo cha Mama wa Rehema Madale wakisubiri kupokea zawaidi ya Noeli.
Mmoja wa walezi wa watoto, Sista Ishengoma akishukuru na kutoa neno mara baada ya kupokea zawadi ya Noeli kwa niaba ya watoto.
Watoto wa kituo cha Mama wa Rehema wakifurahi baada ya kituo chao kukabidhiwa zawadi za Noeli.
John Bernard (kulia), akikabidhi zawadi za watoto wa Kituo cha Mama wa Rehema kwa walezi, masista wanaosimamia kituo.
No comments:
Post a Comment