TANGAZO


Friday, December 30, 2016

SIMBA ILIVYOIPIGA RUVU SHOOTING BAO 1-0 LIGI KUU YA VODACOM UWANJA WA UHURU JIJINI DAR

Mashabiki wa timu ya Simba wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo, dhidi ya Ruvu Shooting, uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana. Simba ilishinda bao 1-0 lililofungwa na Mohamed Ibrahim aka MO. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Full Maganga wa Ruvu Shooting (kushoto), akiwania mpira na Mohamed Husein Tshabalala wa Simba.
Mohamed Husein Tshabalala wa Simba, akipiga mpira krosi kuelekea lango la Ruvu Shooting.
Mohamed Ibrahim aka MO wa Simba akishangilia bao pekee aliloifungia timu yake katika mchezo huo.
Mohamed Ibrahim akishangilia bao hilo pekee aliloifungia timu yake katika mchezo huo.
Mohamed Ibrahim (kushoto) akishangilia na kupongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mchezo huo.
Mohamed Ibrahim (kushoto) akishangilia na Mohamed Hussein Tshabalala.
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo huo.
Yussuf Nguya wa Ruvu Shooting akimchezea rafu Pastory Athanas (aliyedondoka) wa Simba katika mchezo huo.
Nahodha wa timu ya Ruvu Shootinga, Jabir Aziz (26), akimzuia Pastory Athanas wa Simba.
Pastory Athanas wa Simba, akiwatoka Nahodha wa timu ya Ruvu Shootinga, Jabir Aziz (kulia) na Yussuf Nguya.
Pastory Athanas (katikati) wa Simba, akiwania mpira na Yussuf Nguya wa timu ya Ruvu Shootinga, 
Nahodha wa Ruvu Shooting, Jabir Aziz akijaribu kuumiliki mpira na huku akimzuia Juma Luzio wa Simba.
Yussuf Nguya wa timu ya Ruvu Shootinga akimpiga stop Pastory Athanas wa Simba.
Yussuf Nguya wa timu ya Ruvu Shootinga akimpiga stop Pastory Athanas wa Simba, 
Yussuf Nguya wa timu ya Ruvu Shootinga na Pastory Athanas wa Simba, wakiwania mpira, 
Yussuf Nguya wa timu ya Ruvu Shootinga na Pastory Athanas wa Simba, wakiwania mpira, 
Wachezaji wa Simba wakitoka uwanjani baada ya mchezo huo kumalizika na timu hiyo kushinda kwa bao 1-0.
Mashabiki wa Simba wakitoka uwanjani kwa shangwe baada ya timu yao kushinda mchezo huo.

No comments:

Post a Comment