Pages

Saturday, December 24, 2016

NDOA YA WADAU GODFREY SINYANGWE NA ESTHER KILUMA WA JIJINI MWANZA YAFANYA

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Saint Nicholas Jimbo Kuu Mwanza DVN, Lazaro Manjelenga, akiwafungisha ndoa Bwana Godfrey Sinyangwe na Bibi Esther Kiluma wote wa Jijini Mwanza, hii leo. Amesaidizana na Mchungaji Msaidizi wa Kanisa hilo, Joseph Samwel.#BMG
Bwana Godfrey Sinyangwe na Bibi Esther Kiluma wakivishana pete ya ndoa.
Upendo wa dhati.
Bwana Godfrey Sinyangwe (kushoto) na Bibi Esther Kiluma, wakifurahia ndoa yao.
Wanapendana sana.
Bwana Godfrey Sinyangwe na Bibi Esther Kiluma.
Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Bwana Godfrey Sinyangwe na Bibi Esther Kiluma wakiwa ufukweni.
Ndoa yetu na idumu milele.
Baada ya ndoa pamoja na zoezi la kupiga picha katika ufukwe wa ziwa Victoria, shughuli usiku huu inafanyika Ukumbi wa Bugando Club. BMG inawatakia Maisha Mema.

No comments:

Post a Comment