Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye
(kulia) akipokea vifaa vya michezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Star Times Tanzania Limited Bw. Leo, 9 November, 2016 katika ukumbi wa Wizara Jijini
Dar es Salaam.(Picha zote na Benedict Liwenga-WHUSM)
No comments:
Post a Comment