TANGAZO


Tuesday, November 1, 2016

KIKAO CHA KAMATI YA KUWAENZI VIONGOZI WA KITAIFA YA BARAZA LA WAWAKILISHI CHAFANYIKA ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Kamati ya kuwaenzi Viongozi wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Jimbo la Konde, Mhe. Omar Seif Abeid (wa pili kushoto) akizungumza katika kikao kilichowakutanisha wajumbe wa kamati hiyo, pamoja na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Vuga Mjini Zanzibar.

Wa kwanza kushoto ni Waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, kulia wa kwanza ni Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Ndg. Joseph Abdulla Meza, Naibu Katibu Mkuu, Ahmad Kassim Haji na Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti - OMPR - Ndg. Ameir Ussi. (Picha na Hassan Issa – OPMR – ZNZ) 

No comments:

Post a Comment