Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Ndg. Joseph Abdulla Meza (wa tatu kushoto), akikiongoza kikao cha ushirikiano kati ya Watendaji Wakuu wa Ofisi za Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Vuga Mjini Zanzibar. Wa Tatu kulia ni Ndg. Obey Assery anayeuongoza ujumbe wa viongozi Watendaji Wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Kulia kwa Ndg. Meza ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Ndg. Ahmad Kassim Haji na Mratibu Mkuu Ofisi ya Uratibu wa Shughuli za SMZ Dar es Salaam, Ndg. Issa Mlingoti Ali. (Picha zote na Hassan Issa – OMPR –ZNZ)
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Ndg. Joseph Abdulla Meza (wa pili kushoto), akikiongoza kikao cha ushirikiano kati ya Watendaji Wakuu wa Ofisi za Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Vuga Mjini Zanzibar. Kikao cha ushirikiano kati ya watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kikiendelea.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Ndg. Joseph Abdulla Meza (wa pili kulia), akikiongoza kikao cha ushirikiano kati ya Watendaji Wakuu wa Ofisi za Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Vuga Mjini Zanzibar. Kulia ni ndg. Obey Assery anayeuongoza ujumbe wa viongozi Watendaji Wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.




No comments:
Post a Comment