- Nchini Madagascar, jamii ya Malagasy ina mila na desturi ya
- kushangaza ambapo maiti
- hufukuliwa na kufanyiwa sherehe.
Familia yote huusika katika sherehe hiyo ijulikanayo kama Famadihana lakini sasa changamoto ni kwa familia nyingi zinashindwa kuchangisha fedha za kugharamia mila hii.
No comments:
Post a Comment