Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini George Lugata, akipunga mkno kuwasalimu wateja wa Tigo walioalikwa chakula cha jioni katika kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja.
|
Msanii Elias Barnabas (Barnaba) akiburudisha kwa kuimba na kucheza pamoja na wageni waalikwa.
|
Wateja wa Tigo wakisikiliza kwa makini.
|
Meneja Rasilmali watu wa Kampuni ya Tigo, Catherine Olaka akimpongeza mwangalizi wa duka la Manzese, Glory kwa kupata zawadi ya mfanyakazi bora.
|
Meneja wa Ubora wa huduma kwa Wateja wa Tigo, Mwangaza Matotola akiwaongoza wateja kupata chakula cha jioni.
|

No comments:
Post a Comment