Meneja wa Miradi kutoka kampuni ya Selcome Bw. Galus Runyet akitoa maelezo kwa waandishi wa habari za Michezo kuhusu jinsi ya kutumia kadi ya mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari za Michezo wakimsililiza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa semina maalum iliyoandaliwa na Kampuni ya Selcom kujadili kuhusu matumizi ya mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Chama cha waandishi wa habari wa michezo Tanzania (TASWA) Bw. Juma Pinto akizungumza katika semina maalum iliyoandaliwa na kampuni ya Selcom kwa ajili ya kujua matumizi ya mfumo wa mashine za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini dar es Salaam.(Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUMS)





No comments:
Post a Comment