| Maua Sama na Nandy wakiimba kwa pamoja katika usiku wa Tigo Fiesta mkoani Tabora mwishoni wa wiki hii. |
Msanii wa Bongo fleva AMADAI akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta Mkoani Tabora.
|
JUX na Benpol wakiimba wimbo wa pamoja "NAKUCHANA" katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ally Hassan mkoani Tabora.
|
Mkali wa HipHop Niki wa pili akishambulia jukwaaa la Tigo Fiesta mkoani Tabora mapema wiki hii katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi.
|
Nuh Mziwanda akiimba kwa hisia nyimbo yake ya Jike shupa katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Tabora mapema Ijumaa hii.
|
No comments:
Post a Comment