TANGAZO


Saturday, September 10, 2016

Moto wa kiwanda wawaua watu 15 Bangladesh

Moto huo ulisambaa kwa haraka katika nyumba hiyo ya ghorofa nne

Image copyrightEPA
Image captionMoto huo ulisambaa kwa haraka katika nyumba hiyo ya ghorofa nne
Watu kumi na watano wameuwawa nchini Bngladesh katika moto mkubwa katika kiwanda kimoja, uliosababishwa na mlipuko wa kifaa cha kuchemsha maji.
Zaidi ya watu 70 wamejeruhiwa viungani mwa mji mkuu Dhaka, na inaarifiwa kwamba huenda idadi ya walioaga ikaongezeka.
Polisi wanasema kwamba zaidi ya watu 100 walikuwa wakifanya kazi katika kiwanda hicho, na kwamba moto huo ulisambaa kwa kasi katika jengo hilo la ghorofa nne.
Wazima moto wakiwabeba waathiriwa kwenye ajali hiyo ya motoImage copyrightEPA
Image captionWazima moto wakiwabeba waathiriwa kwenye ajali hiyo ya moto

No comments:

Post a Comment