Msanii Ben Pol
akiwa jukwaani kuwapagawisha wakazi wa Singida kwenye tamasha la Tigo Fiesta
lililofanyika uwanja wa Namfua usiku wa kuamkia jana.
|
FID Q akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Singida katika viwanja vya Namfua usiku wa jana.
|
JUX akiwaburudisha wapenzi wa muziki waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya Namfua mkoani Singida wakati wa tamasha la Tigo Fiesta usiku wa jana.
|
Niki wa pili akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana Mkoani Singida.
|
Malkia wa Uswazi Snura akiwa na madancer wake katika kuwapagawisha wakazi wa Singida katika usiku wa Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Namfua.
|
Maelfu ya wakazi wa SIngida waliojitokeza kwa wingi kushuhudia Tamasha kubwa la burudani Tigo Fiesta lilifanyika katika viwanja vya Namfua mkoani humo usiku wa jana.
|

No comments:
Post a Comment