Pages

Saturday, September 10, 2016

KATIBU MKUU UTUMISHI AZINDUA BONANZA LA MICHEZO YA 34 YA SHIMIWI


Watumishi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiwa katika mistari tayari kwa kuanza mazoezi wakati wa Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru. 
Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurence Ndumbaro (watatu kulia) akiongoza watumishi kutoka Wizara na Taasisi za Umma kufanya mazoezi wakati wa Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru. 
Watumishi wa Umma kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali za Umma wakihitimisha mazoezi ya kupasha mwili huku wakiongozwa na Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurence Ndumbaro (watatu kulia) wakati wa Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru. 
Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurence Ndumbaro (watatu kulia) akiwaongoza watumishi kutoka Wizara na Taasisi za Umma kufanya mazoezi ya viungo wakati wa Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru. 
Baadhi ya Watumishi wa Umma kutoka Wizara na Taasisi wakifanya mazoezi ya viungo wakati wa Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru. 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akisalimiana na watumishi wa Wizara hiyo walioshiriki katika Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru.
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurence Ndumbaro akisoma hotuba kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi wakati wa Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru. Nyuma ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel.
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurence Ndumbaro (watatu kushoto) akimkabidhi kombe mwakilishi kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kwa Wizara hiyo kushika nafasi ya pili wakati wa Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru. Waliosimama kushoto na kulia ni baadhi ya viongozi wa Wizara na Taasisi za Umma. 
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurence Ndumbaro (watatu kulia) akimkabidhi kombe mwakilishi kutoka ofisi ya Jiji la Dar es Salaam kwa Jiji kushika nafasi ya kwanza wakati wa Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru. Waliosimama kushoto na kulia ni baadhi ya viongozi wa Wizara na Taasisi za Umma. 
Viongozi kutoka Wizara na Taasisi za Umma katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Katibu Mkuu Utumishi Dkt. Laurence Ndumbaro (katikati mwenye suruali ya kijani) wakati wa Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru. 
Watumishi kutoka ofisi ya Jiji la Dar es Salaam wakishangilia ushindi wa kwanza huku wakionyesha zawadi ya kikombe cha ushindi wakati wa Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru. 
Madaktari wa wanamichezo wakitoa huduma ya kwanza kwa utumishi wa umma aliyeumia wakati akishiriki Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya 34 ya Shimiwi leo Jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru. (Picha zote na Genofeva Matemu - WHUSM)

No comments:

Post a Comment