Msanii Joh Makini akiwarusha mashabiki wa hip hop kwenye Tamasha la Tigo Fiesta wilaya Muleba usiku wa jana lililofanyika uwanja wa David Zihimbile.
|
Msanii Raymond akionyesha umahiri wake kwenye Tamasha la Tigo Fiesta wilaya Muleba usiku wa jana lililofanyika uwanja wa David Zihimbile.
|
Msanii Shilole akiwa na shabiki wake kwenye Tamasha la Tigo Fiesta wilaya Muleba usiku wa jana lililofanyika uwanja wa David Zihimbile.
|
Msanii chipukizi wa Super Nyota aliyebahatika kushiriki fiesta ya mwisho litalofanyika jijini Dar Es Salaaam.
|
Sehemu ya umati uliohudhuria tamasha la Tigo fiesta Muleba.
|
No comments:
Post a Comment