Afisa tawala wa wilaya ya Masasi Lincoln Ben Tamba akihutubia wananchi wa Masasi mara baada ya hafla ya ufunguzi wa duka la tigo wilayani hapo, mapema wiki iliyopita.
|
Baadhi ya wafanyakazi wa duka la Tigo Masasi wakifuatilia kwa makini hafla za ufunguzi wa duka la Tigo wilaya ya Masasi mapema wiki iliyopita.
|
No comments:
Post a Comment