Christian Bella akilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta 2016 katika uwanja wa Taifa mjini Kahama usiku wa jana.
|
Chege Chigunda naye alitoa burudani ya kukata na shoka katika uwanja wa Taifa kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2016 Mjini Kahama usiku wa jana.
|
Chege Chigunda, akiwa kazini na kundi lake.
|
Jux akiwa na Dancer wake akitumbuiza wimbo wa Wivu katika jukwaaa la Tigo Fiesta 2016.
|
Maua Sama naye alipamba Tamasha la Tigo Fiesta 2016 katika Uwanja wa Taifa Mjini Kahama usiku wa Jana.
|
Rayvany naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fista 2016 ambapo aliwasimulia wananchi wa Kahama stori ya "KWETU" na jinsi anavyotafuta "KIKI".
|
Stamina akitoa michano katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 usiku wa jana katika Uwanja wa Taifa.
|
Maelfu ya wakazi wa Kahama na maeneo jirani wakishuhudia burudani mbali mbali toka kwa wasanii waliotumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana.
|
Mashabiki, wakiangalia burudani.
|
IMOOOOOOOOOOOOOOO.
|
Shanngwe zikiendelea katika Uwanja wa Taifa wakati Tamasha la Tigo Fiesta likiendelea usiku wa jana Mjini Kahama.
|
No comments:
Post a Comment