Maafisa nchini India wamesema kuwa mvulana wa miaka anayetuhumiwa kwa kosa la kubaka, anapaswa kuhukumiwa kama mtu mzima. Hili ni kesi ya kwanza kuhamishwa na kupelekwa katika mahakama ya watu wazima juu ya makoasa ya ubakaji hii ikichagizwa na mabadiliko ya sheria yaliyofanywa mwaka jana.
Hapo awali watoto waliokumbwa na keshi ya kubaka wakiwa na miaka chini ya 18 wangeliweza kufungwa jela kifungo kisichozidi miaka mitatu.
Mabadiliko ya sasa yanatumika kwa matukio ya ubakaji na tiyari yamekwishatumika katika kesi za mauaji.
Mvulana huyo anatuhumiwa kumbaka msichana wa miaka 17 ambaye ni mwanafunzi.
No comments:
Post a Comment