Mkuu
wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella (wa pili kutoka kushoto) akisisitiza
jambo walipotembelea eneo la Chongoleani ambapo kutajengwa gati
ya kushushia mafuta ghafi.
|
Kaimu
Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara ya Nishati na
Madini, Mwanamani Kidaya akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya
kulitembelea eneo hilo leo.
|
Mkuu
wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella akizungumzia namna mkoa huo
ulivyojipanga na fursa hiyo mara baada ya kulitembelea eneo
hilo.
|
Kaimu Meneja wa Bandari ya
Tanga, Henry Arika kulia akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa
Tanga, Martine Shigella (wa tatu kutoka kushoto) namna walivyojipanga
kutokana na fursa hiyo.
|
Kaimu
Kamishna Msaidizi wa Petroli kutoka Wizara ya Nishati na
Madini, Mwanamani Kidaya kushoto akimuonyesha kiti Mkuu wa Mkoa wa
Tanga, Martine Shigella mara baada ya kutembelea eneo
hilo.
|
Muonekano wa eneo ambalo
kutajengwa gati mpya kwa ajili ya kushushia mafuta ghafi. (Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
No comments:
Post a Comment