TANGAZO


Monday, August 29, 2016

EAC yaidhinisha kiswahili kuwa lugha rasmi

Jamii ya Afrika Mashariki

Image captionJamii ya Afrika Mashariki
Bunge la Afrika Mashariki limepitisha azimio la kuifanya lugha ya kiswahili kuwa lugha rasmi ya jamii ya Afrika Mashariki kulingana na gazeti la The Citizen nchini Tanzania.
Gazeti hilo linasema kuwa wajumbe wa bunge hilo wamekubaliana kwamba mabadiliko hayo yalikuwa yakisubiriwa sana kwa kuwa lugha hiyo imechukua jukumu kubwa la kuwaunganisha wakaazi wa Afrika Mashariki.
Hatua inayofuata ni kwamba mkataba wa EAC utalazimika kufanyiwa marekebisho 

No comments:

Post a Comment