TANGAZO


Wednesday, August 17, 2016

DRC kuanza chanjo ya homa ya manjano

DRC kuanza chanjo dhidi ya homa ya manjano

Image captionDRC kuanza chanjo dhidi ya homa ya manjano
Leo serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kushirikiana na Shirika la Afya duniani WHO itaanza zoezi la kutoa chanjo ya homa ya manjano kwa raia wa nchi hiyo.
Jamuhuri ya Kidokrasia ya Congo na pamoja Angola ni miongoni mwa nchi barani Afrika zilizoathirika zaidi na ugonjwa huo.
Katika ripoti ya Shirika la Save the Children inaulezea ugonjwa huo ambao hauna tiba kama ugonjwa wa hatari unaoweza kusambaa zaidi duniani.
Hapo jana shirika hilo lilionya katika ripoti yake kuwa kama hatua hazitachuliwa ugonjwa huo unaweza kuenea katika mabara ya America, Asia, na Ulaya.

No comments:

Post a Comment