Pages

Tuesday, July 26, 2016

WASANII WA FILAMU KUNUFAIKA NA MFUMO MPYA

Msemaji kutoka kituo cha Sibuka Televisheni wa kwanza kulia   Bw. George Nangale  akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kipindi cha INABAMBA “Ni bongo movie bandika bandua” kitachokuwa kinaonyeshwa katika kituo hiko cha matangazo uliofanyika leo jijini Dar es salaam, kushoto ni Afisa habari wa kampuni ya Step Entertainment  Bw. Moses Mwanyilu.(Picha zote na Ally Daud-Maelezo) 
Mkurugenzi wa matamasha  kutoka kampuni ya usambazaji filamu nchini Steps Entertainment katikati Bw. Jonas Sabuni akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kipindi cha INABAMBA “Ni bongo movie bandika bandua” ambao uliofanyika leo jijini Dar es Salaam,  kushoto ni Afisa habari wa kampuni hiyo Bw. Moses Mwanyilu na kulia ni mwigizaji wa bongo movie Jimmy Mafufu. 
Afisa habari wa Kampuni ya Step Entertainment  Bw. Moses Mwanyilu wa kwanza kushoto akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kipindi cha INABAMBA “Ni bongo movie bandika bandua” kitachokuwa kinaonyeshwa katika kituo cha matangazo Sibuka Televisheni uliofanyika leo jijini Dar es salaam,katikati ni , Msemaji kutoka kituo cha Sibuka Televisheni  Bw. George Nangale na wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Masoko kutoka Startimes Bw. Awino Felia.  
Meneja Masoko kutoka Startimes Bw. Awino Felia  wa kwanza kushoto akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa kipindi cha INABAMBA “Ni bongo movie bandika bandua” kitachokuwa kinaonyeshwa katika kituo cha matangazo Sibuka Televisheni kupitia king’amuzi cha Startimes  uliofanyika leo jijini Dar es Salim. 

No comments:

Post a Comment