TANGAZO


Saturday, July 23, 2016

Sam Allardyce meneja mpya wa England

sam

Image copyrightPA
Image captionAmetia saini mkataba wa miaka miwili
Sam Allardyce ametangazwa rasmi kuwa meneja mpya wa timu ya taifa ya England.
Amekuwa meneja wa klabu ya Sunderland.
Allardyce, ajulikanaye sana kama Big Sam, ametia saini mkataba wa miaka miwili, ambao utampatia jukumu la kuandaa na kuongoza timu hiyo hadi mwisho wa Kombe la Dunia la 2018.
Anamrithi Roy Hodgson, aliyejiuzulu baada ya England kuondolewa kutoka kwa michuano ya ubingwa Ulaya nchiniUfaransa baada ya kushindwa na Iceland.

No comments:

Post a Comment