TANGAZO


Friday, July 22, 2016

MKUU WA WILAYA YA ILALA, SOPHIA MJEMA AKABIDHI MADAWATI 200 SHULE YA MSINGI GONGO LA MBOTO JESHINI

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akizungumza jambo wakati wa hafla hiyo. 
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema akipokelewa na viongozi mbalimbali. 
Diwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kata ya Ukonga, Juma Mwipopo, akimsalimia Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Sophia Mjema wakati wa hafla ya kukabidhi madawati Shule ya Msingi Gongo la mboto Jeshini.
Mhariri Mkuu Afrika Media, Chanenl Ten, Dina Chahali akimkaribisha kwa kumpokea, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Sophia Mjema katika hafla ya kukabidhi madawati katika Shule ya Msingi Gongo la mboto Jeshini.


Mwenyekiti wa Kamati ya Madawati Mkoa wa Dar es Salaam, Hamid Abdulrahman akimkadhi madawati 200  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kushoto), wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi madawati inaongozwa na Kituo cha Televishen cha Channel ten kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Makonda.
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kushoto) akimkabidhi madawati 200, Mwalimu  Mkuu wa  Shule ya Msingi Gongo la mboto Jeshini, Joel Balua wakati wa hafla hiyo. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti Kamati ya Shule hiyo, Benjamin Wasonge.
Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati) katika picha ya pamoja na Waalimu wa Shule hiyo.
Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya Wazazi wa wanafunzi wa Shule hiyo.
Mjumbe wa Kamati ya Uchangiaji madawati Mkoa wa Dar es Salaam Sakina Yusuphali akimpatia kinywaji mmoja wa  wanafunzi  hao.

Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi hao wa Shule hiyo.




Muonekano wa baadhi ya madarasa katika hatua ya mwisho.
 Muonekano wa baadhi ya madarasa katika hatua ilipofikia
Wakitoka katika kuangalia vyumba vilivyokuwa tayari na vikiwa vinamadawati. 
Baadhi ya wanafunzi wakiwa wameinua mikono baada ya kuulizwa swali na  Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, niwangapi wanao fuatilia kuangalia Tv na niwangapi hua wakiona tangazo gani? (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

No comments:

Post a Comment