TANGAZO


Friday, July 22, 2016

KIKAO CHA NEC YA CCM, MATAYARISHO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA DODOMA

Mjumbe wa NEC ya Chama Cha Mapinduzi, Sophia Simba akiingia katika ukumbi wa mikutano kwa ajili ya kikao Mjini Dodoma. (Picha zote na John Banda, Dodoma)
Askari wa Jeshi la Ulinzi (JWTZ), wakifanya mazoezi katika viwanja vya Mashujaa kwa ajili ya maandalizi ya Kumbukumbu ya Mashujaa itakayofanyika Jumatatu ijayo. 
Askari wa JWTZ wakiwa kwenye Gwarade la maandalizi ya Kumbukumbu ya Mashajaa, itakayofanyika kitaifa Mjini Dodoma keshokutwa Jumatatu. 
Mafundi wakifunga sanamu ya Mwenge katika Mnara wa Mashujaa mjini Dodoma kwa ajili ya maandalizi ya kumbukumbu ya mashujaa itakayofanyika Jumatatiu ijayo. 
Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Akison akipiga makofi wakati alipokuwa akimaliza mbio za marathoni zilizoitwa kwa jina lake 'TULIA MARATHON'. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthon Mavunde na kulia ni Rais wa mbio hizo, Anthon Mtaka.

No comments:

Post a Comment