Katibu
Tawala wa wilaya ya Muheza akizungumza kabla ya kumkaribisha Mkuu wa
wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo aliyekaa kulia kuzungumza
na watumishi wa Hospitali Teule ya Muheza.
|
Mganga Mfawizi wa Hospitali Teule ya Muheza Malahiyo Rajabu kulia akitoa ufafunuzi kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza, Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo (kushoto). Katikati ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza wakati mkuu huyo wa wilaya alipofanya ziara kwenye hospitali hiyo.
Kulia ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali Teule ya Muheza,Malahiyo Rajabu akimueleza jambo Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo kuhusua namna wanavyofanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ambaye alifanya ziara ya kushtukiza ya kuitembelea hospitali hiyo Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
No comments:
Post a Comment