Tuesday, July 26, 2016
BALOZI SEIF IDDI AMUAGA RAIS DK. SHEIN AKIELEKEA NCHINI UINGEREZA KUCHUNGUZWA AFYA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akiagwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akielekea nchini Uingereza kwa uchunguzi wa kawaida wa Kiafya.
Balozi Seif Iddi akimuaga mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mwanamwema Shein katika chumba cha watu mashuhuri (VIP) kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na OMPR – ZNZ)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment