Baadhi ya Wateja wa Kampuni
ya Simu ya Tigo wakiwa katika foleni kwa ajili ya kuhakiki simu zao zoezi
linaloendelea kwa ushirikiano baina ya makampuni ya simu na TCRA–CCC leo
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya watoa huduma wa Tigo wakitoa huduma kwa wateja wao wakati wa kampeni ya
kuhakiki simu kama ni Bandi au Orijino leo jijini Dar es Slaam.
Meneja
Mauzo wa 4G kutoka Tigo Anthony Assenga akisikiliza maoni ya wateja
waliotembelea banda la tigo wakati wa kampeni ya kuhakiki simu kama ni Bandi au
Orijino leo jijini Dar es Slaam.
Meneja Mauzo wa 4G kutoka Tigo
Anthony Assenga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu
muitikio wa wananchi katika zoezi la kuhakiki simu kama ni Bandi au
Orijino leo jijini Dar es Slaam.
Watoa huduma wa Baraza la
Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA – CCC) wakitoa
huduma kwa wateja wakati wa kampeni ya kuhakiki simu leo jijini Dar es Salaam.
Watoa huduma wa Baraza la
Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA – CCC) wakitoa
huduma kwa wateja wakati wa kampeni ya kuhakiki simu leo jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wateja wa Kampuni ya Simu ya Tigo akitumbukiza simu yake katika
chombp maalulu cha baada ya kubainika kuwa ni simu bandi alipotemdelea
banda la Tigo wakati wa Tamasha la Simu EXPO 2016 leo jijini Dar es Salaam.
Tamasha hilo ni maalumu kwa ajili ya kuhamasisha jamii kuhakiki simu zao na
kudadilisha kabla yakufungiwa ifikapo tarehe 16 mwezi huu.Mteja huyo
alikabidhiwa simu nyingine aina ya Itel 2100 ikiwa na kifurushi cha Dk.550,
SMS, 3000 na MB250 kwa gharama ya shilingi elfu 22,000 tu.
Afisa Tawala na Fedha wa
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania Bi. Amina
Ramadhan Haighai akimsaidia mteja aliyetembelea banda lao kufanya uhakiki wa
simu kama ni bandia au orijino leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wananchi
wakiangalia bidhaa za simu wakati wa Tamasha la Simu EXPO 2016 leo jijini Dar
es Salaam. Tamasha hilo ni maalumu kwa ajili ya kuhamasisha jamii kuhakiki simu
zao na kudadilisha kabla yakufungiwa ifikapo tarehe 16 mwezi huu.Tamasha hilo
linafikia tamati kesho sa 11:00 jioni.

No comments:
Post a Comment